Thursday 21 June 2018

#HURUMA SI HAKI YANGU........!!!!!!!!!!!!!

Genius TV.

Sikiliza simulizi ya Sheby the don,inayokwenda kwa jina la #HURUMA SI HAKI YANGU.Simulizi hii imeandaliwa/kuandikwa na na mtunzi au muandishi anaeitwa Bw.Jackson J. Kihimbi anaepatikana kwa nambari za simu: 0676012561, na kusimuliwa na msimulizi anaeitwa Sheby the don anaepatikana kwa nambari za simu: 0742252300,chini ya kampuni ya ZDV Production.Simulizi hii itakufunza mengi na hakika utaipenda.Tafadhali bonyeza kiunganishi hapa chini ili uweze kuipakua(Download)


DOWNLOAD